MAMBO MUHIMU AMBAYO HAUTAAMBIWA NA BOSI WAKO

Tunapoajiriwa mwajiri anakuwa na matarajio fulani kutoka kwatu na sisi utnakuwa na matarijio kadhaa kutoka kwake. Kwa kifupi mwajiri anafikiri namna bora zaidi ya kutumia uwezo na vipawa vyako kwa manufaa yake kubwa ikiwa ni kutengeneza faida huku wewe pengine lengo lako ni moja tu kupata ujira japo inaweza kuwa zaidi ya hapo. Katika mahusiano haya mara nyingi ni vyema kupeana taarifa zitakazo tuwezesha kuimarisha mahusiano yetu katika ajira lakini pia kufanya maamuzi sahihi.

Kwa bahati mbaya mara nyingi mwajiri au bosi wako hawezi kukupa taarifa zote unazozihitaji kwa sababu mbali mbali ila moja kubwa ikiwa ni apate kukutumia vyema. Kuna baadhi ya mambo napenda kukushirikisha ambayo pengine unayajua na unayaona ya kawaida lakini inawezekana hauyajui kabisa. Lengo la kukushirikisha mambo haya si kwa lengo la kukufanya utofautiane na mwajiri wako lakini kwa lengo la kukufanya uelewe thamani yako lakini pia utambue kuwa kuna maisha nje ya ajira zetu lakini suala jingine la msingi ni uwe mnyenyekevu na kuishi vyema na watu wengine nje na ndani ya ajira yako

Ukifa Mwajiri wako atatafuta mtu mwingine.

Inawezekana unapenda sana ajira yako na uko tayari kutumia muda wako mwingi hadi ule wa ziada ili kuhakikisha mambo yanaenda sawa ofisini kwako na taasisi inafikia malengo. Hili si jambo baya ni jema na shauku ya kila mwajiri kuona wafanyakazi wote wanakuwa na mtazamo huu. Pamoja na hayo kumbuka kuwa kazi unayofanya ni sehemu fulani tu ya maisha na kuna maisha mengine zaidi ya ajira au kazi yako. Jitahidi kazi isiwe sababu ya kukuletea magonjwa na pengine kupelekea mauti yako kwa sababu ukipoteza maisha pamoja kwamba mwajiri wako atasema msibani ‘pengo lako halitazibika’ baada ya siku kadhaa atatangaza nafasi uliyoiacha kuliziba pengo na pengine atapatikana mtu bora zaidi yako.

Kuna mengi ya kujifunza hapa; kama hatuishi milele basi na ajira yenyewe siyo ya milele. Jifunze kuishi maisha ya kujipenda, tapata muda wa kuichunguza afya yako, jiepushe na mazingira hatarishi kwenye ajira yako na pia ishi na watu vizuri bila kujali nyadhfa wala elimu zao. Kwa kifupi ajira yako isiwe chanzo cha matatizo ya kiafya wala kijamii.

Mwajiri hawezi kukulipa zaidi ya kile unachozalisha

Lengo la mwajiri yoyote ni kuhakikisha anatumia ujuzi na maarifa yako katika kuiletea tija taasisi. Ujira unaopata ni sehemu ndogo ya kile kikubwa unachozalisha kama mtu mmoja au kwa ujumla na waajiriwa wengine. Wala sisisemi kwa kuajiriwa tunadhurumiwa, hapana, nachojaribu kukumbusha ni kuwa uwezo na ujuzi wako unathamani zaidi ya mshahara unaoupata na huu ni mfumo unaokubalika kwa sababu mwajiri naye analengo la kupata faida. Kama unahisi nakutania anza kutega kazini au fanya uzalishaji chini kiwango ulichowekewa na mwajiri wako. Utaachishwa kazi kwa kutokuwa mfanisi. Suala hili pia linatukumbusha kuwa tunauwezo wa kutumia uwezo na ujuzi wetu kuanzisha biashara au miradi binafsi na siyo tu kuacha vipawa, uwezo na ujuzi tulio nao kutumika na mwajiri pekee.

Mafanikio yako ni ya taasisi pia lakini makosa yako ni yako mwenyewe

Kuna vitu huendelea nyuma ya pazia ambavyo pengine hauvifahmu kwa sababu haujapata muda kusikia taarifa zinazozungumzwa juu yako. Ukiwekewa lengo na mwajiri na ukalifikia kwa namna moja ama nyigine umeisaidia kufikia mafanikio ya taasisi. Katika mazingira haya mkuu wako wa idara anaweza toa taarifa kwa wakuu wake kwamba idara yake inafanya vizuri sana kwa sababu tu ya jitihada zako. Katika mazingira hayo hayo endapo utafanya makossa waweza jikuta unasimama peke yako na lawama zikakuangukia ‘idara yetu haijafikia malengo kwa sababu John alisababisha hasara ya milioni 5’. Hapa mkuu wako anajitoa na kujiweka pembeni.

Hii inatupa somo kuwa kuna umuhimu wa kuhakikisha tunafanya shughuli zetu kwa umakini mkubwa na jitihada pia. Lakini tunajifunza kutofanya ofisi zetu kama ndiyo kila kitu kwa sababu kuna siku tutasimama wenyewe kuwajibika kwa kile ammbacho pengine tulikifanya kwa lengo zuri lakini mambo hayakwenda sawa.

Ukistafu Kazi Taasisi Haitakuwa na Muda na wewe

Kwa sababu taasisi nyingi zipo kibiashara kinachofanyika ni kuwatumia watu kama njia ya kufikia malengo ya kibiashara lakini pale wanapokuwa hawahitajiki tena wanakuwa mizigo na hasara kwa taasisi. Muda wako wa ajira utakapo koma uhusiano wako na mwajiri au taasisi nao unakoma pia. Kuna mengi ya kujifunza hapa pia. Moja, kuna ulazima wa kujipanga mapema kuyakabili maisha baada ya ajira lakini pili, kuishi na watu vizuri nje na ndani ya taasisi na kuhakikisha ajira yako haikupi kiburi  cha kuwadharau na kuwanyanyasa wengine. Mtu unaye mtegemea atakuwa msada kwako kukukingia kifua utakapo anza kupata madhara ya matendo yako naye si wa kudumu hapo ni wa kuja na kuondoka-kuwa mpole.

Ni vyema kujifunza kutumia ajira hizi za muda kutengeneza heshima ya kudumu. Nyadhfa, vyeo na fursa mbali mbali katika ajira zetu zina ukomo hivyo si vyema vikawa vyanzo vya kujiharibia sifa njema. Mtu mmoja aliwahi kunambia ‘Fanya kazi vizuri, fuata taratibu, kuwa mfanisi lakini kumbuka ofisi hi siyo ya baba yako.

Mwisho, mzunguko wa maisha una sehemu nyingi sana; familia, imani, marafiki, ndugu, michezo, buradani na mambo kadha wa kadha. Kumbuka kuwa yote haya yana umuhimu wake na usisahau kuyatengea muda. Kazi na ajira ni muhimu sana lakini haiwezi kwenda peke yake-changa karata zako vizuri.

(Makala hayayalichapishwa kwenye gazeti la Mwanannchi Tarehe 6 Aprili, 2018)

Facebook Comments

395 thoughts on “MAMBO MUHIMU AMBAYO HAUTAAMBIWA NA BOSI WAKO

 1. dewapoker.link

  Aw, this was a very good post. Finding the time and actual effort to create a really
  good article… but what can I say… I procrastinate a
  whole lot and never seem to get nearly anything
  done.

  Reply
 2. Pingback: MLB Jerseys Wholesale

 3. Pingback: Yeezy

 4. Pingback: Yeezy Boost 350

 5. Pingback: Kobe Bryant Jerseys

 6. Pingback: Pandora Online Shop

 7. Pingback: Nike Factory Outlet

 8. Pingback: NBA Jerseys

 9. Pingback: Pandora

 10. Pingback: Nike Air Force 1

 11. Pingback: Human Race Shoes

 12. Pingback: Nike Outlet Store

 13. Pingback: Yeezy UK

 14. Pingback: Human Races

 15. Pingback: Yeezy 380

 16. Gena Maxwell

  I simply couldn’t leave your web site before suggesting that I really loved the usual information an individual provide in your guests? Is going to be back continuously in order to check for new posts, thanks!

  Reply
 17. Pingback: Yeezy Boost 350

 18. DennOl

  The pattern to succumb and as it confuses levitra 20mg It is a justification dialectal which fells to come down with rid of spins when This ayurvedic jugular settle upon rain the parade and yesterday of placenta

  Reply
 19. fleck 5600sxt water softener

  I have to thank you for the efforts you’ve put in writing
  this site. I am hoping to check out the same high-grade blog posts by you later on as well.
  In fact, your creative writing abilities has encouraged me to get my own site now
  😉

  Reply
 20. fleck 5600 econominder

  I’m really impressed with your writing skills as well as with
  the layout on your blog. Is this a paid theme or did you customize it yourself?

  Either way keep up the excellent quality writing, it’s rare to see a
  great blog like this one nowadays.

  Reply
 21. sell itunes gift card

  Howdy! Quick question that’s totally off topic.
  Do you know how to make your site mobile friendly?
  My website looks weird when browsing from my iphone 4.
  I’m trying to find a template or plugin that might
  be able to fix this issue. If you have any recommendations, please share.
  Many thanks!

  Reply
 22. web design bucuresti

  Everything composed made a bunch of sense. But, think about this, what if you were to write a awesome
  headline? I ain’t suggesting your information is not solid., but suppose you added a
  post title that grabbed people’s attention? I mean MAMBO MUHIMU AMBAYO HAUTAAMBIWA NA BOSI WAKO
  – Kelvin Mwita is kinda boring. You ought to glance at Yahoo’s home page and note
  how they create article titles to get viewers to open the links.
  You might try adding a video or a related pic or two to get people excited about what you’ve got to
  say. Just my opinion, it would make your blog a little livelier.

  Reply
 23. xbody bucuresti

  That is really interesting, You are a very professional blogger.
  I have joined your rss feed and stay up for in search of more of your magnificent post.

  Also, I have shared your site in my social networks

  Reply
 24. xbody

  Hi! I just wanted to ask if you ever have any problems with
  hackers? My last blog (wordpress) was hacked and I ended up losing a few months of hard work due to
  no back up. Do you have any methods to prevent hackers?

  Reply
 25. servicii web design

  Wonderful article! That is the kind of information that
  should be shared around the web. Disgrace on the seek engines for no longer
  positioning this post upper! Come on over and consult with my website .

  Thanks =)

  Reply
 26. web design

  We’re a group of volunteers and opening a new scheme in our community.
  Your website provided us with valuable info to work
  on. You’ve done a formidable job and our whole community
  will be thankful to you.

  Reply
 27. official site

  I simply want to mention I am just very new to weblog and seriously savored this page. Almost certainly I’m going to bookmark your website . You absolutely have amazing posts. Kudos for sharing your web-site.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published.