MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUAMUA KUACHA KAZI KWA HIARI

Moja ya mambo yanayowaweka watu wengi  njia panda ni maamuzi ya kuacha au kuendelea na ajira zao. Kwa sababu mbali mbali watu ufikiria kufanya maamuzi ya kauchana na ajira zao na hivyo kuamua kuandika barua kuwataarifu waajiri wao  juuu ya jambo hili. Ikumbukwe kuwa kuacha ajira kwa hiari ni  haki ya msingi kabisa ya mwajiriwa pale anapoona yafaa kufanya hivyo.

Pamoja na ukweli huo ajira ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu yoyote yule na upatikanaji wake umekuwa changamoto kutokana na ongezeko kubwa la watafuta ajira huku fursa za ajira zikiwa chache. Kwa kuzingatia uzito wa sababu hizi mtu yoyote anayetaka kuacha kazi kwa sababu yoyote ile anatakiwa kufanya tathmini juu ya faida na hasara za uamuzi huo. Kukurupuka kufanya maamuzi haya bila kujtathmini kunaweza sababisha majuto na madhara makubwa kwa mtu mwenyewe na jamii inayomzunguka hasa wategemezi wake

Je ni mambo gani ya kuzingatia unapotaka kuacha kazi?

UZITO WA SABABU YA KUACHA KAZI 

Kabla ya kuangalia kitu chochote kile ni bora kutathmini sababu zinazokupelekea kutaka kufanya maamuzi ya kuacha kazi. Wakati mwingine sababu zinazoweza sababisha mtu akataka kuacha kazi uwa hazina uzito au hukosa mantiki yoyote. Watu wengine hutumia sababu za muda mfupi kufanya maamuzi ya kudumu. Suala hili si jema kabisa na linahitaji tafakari. Unawaza kuacha kazi kwa sababu tu eti ndani ya ofisi kuna mtu mmoja hauelewani naye au una mgogoro naye? Kuna uwezekano mkubwa wa kutafuta muafaka au usuluwishi ili kurudisha amani itakayo kufanya kuendelea kufurahia mazingira ya kazi au ajira yako. Wakati mwingine inahitaji uvumilivu tu, kama wewe na Mkuu wako wa idara hampikiki chungu kimoja kumbuka dhamana ya uongozi katika taasisi uwa ni ya muda tu. Usije acha kazi kwa ambaye wakati mwingine unachotakiwa kufanya ni kunyamaza tu na kuendelea na mambo yako.

TATHMINI MBADALA WA KAZI UNAYOTAKA KUIACHA

Kama ajira yako ndiyo njia pekee ya wewe kupata kipato chako na unataka kuacha kazi hiyo kuna haja ya kujihoji kujua endapo utaacha kazi hiyo ni nini mbadala wake. Si vyema kuamua kuacha kazi kama haujui au hauna hata mbadala wa ajira yenyewe ili kupata fedha za kujihudumia na kuhudumia wengine. Endapo mbadala ni kupata ajira nyingine hakikisha umeshapata ajira kwingine na kujiridhisha kuwa unakotaka kwenda na bora zaidi ndiyo ufanye mchakato wa kuacha ajira yako. Wapo watu wanao ahidiwa ajira  sehemu nyingine na kuamua kuacha ajira zao za sasa lakini mwisho wa siku ahadi hizo zina yeyuka. Kama mbadala ni biashara au shughuli nyingine yoyote ile hakikisha kuwa shughuli hiyo itakuwa ya uhakika na haitakufanya ujutie uamuzi wako. Jambo la muhimu kukumbuka ni ukweli kwamba kila eneo la kazi linachangamoto zake usije acha sehemu yenye unafuaa na kwenda sehemu yenye changamoto zaidi.

MADHARA YA KISHERIA

Tunapoajiriwa uwa tunaingia makubaliano ya kisheria kati yetu na waajiri. Makubaliano hayo yana ambatana na maridhiano yaliyopo kwenye mkataba wa ajira. Ni vyema kupitia na kutathmini madhara kadhaa unayoweza kukabaliana nayo endapo utaacha kazi. Ni wapi ulitumia ajira yako kama dhamana? Kukopa benki? Ni vyema kujiuliza maswali kadhaa ili kujua vyema ni nini utakumbana nacho baada ya kuacha ajira yako. Usije acha ajira ukadhani utapata nafuu ya maisha lakini ndio ukawa mwanzo wa migogoro na mwajiri wako au watu wengine.

NAMNA YA KUACHANA NA MWAJIRI WAKO

Kwa sababu yoyote ile inayokufanya uache kazi kumbuka kuondoka vizuri. Watoto wa mjini wanasema ‘usinyee kambi’. Wapo watu wanaomua kuacha kazi huku wakiondoka kwa maneno ya dharau, chuki na kejeli. Zingatia matumizi ya lugha ya kistaarabu na kuondoka kiungwana na ukiweza andika hata barua ya kushukuru kwa kuitumikia ofisi au mwajiri wako kwa kipindi ulichofanya naye kazi. Haujui ya kesho, kuna uwezekano ukajikuta unahitaji kurudi ulipo toka hivyo tengeneza mazingira ya kuondoka bila kinnyongo au mgogoro na mtu yoyote katika taasisi yako.

TAFUTA USHAURI

Maamuzi ya kuacha kazi yanaweza kuwa ni yako binafsi lakini kutoa maamuzi bila kushirikisha wengine kunaweza kuwa na athari nyingi sana. Wakati mwingine kile unachoona sawa kinaweza kisiwe sawa kwa mtazamo wa watu wengine wanaoweza kukupa ushauri wenye tija. Vile vile maamuzi ya kuacha kazi kwa hiari yanaweza kuwa na athari kwa watu wengi ikiwemo wategemezi wako. Tafuta watu wa karibu unao waamini na wanaoweza kukupa ushauri wa kujenga kisha washirikishe suala hili.

Inawezekana unataka kuacha kazi ili uende sehemu nyingine kwenye ujira mnono zaidi lakini kwa kumshirikisha mwajiri wako dhamira yako ya kuacha kazi akaamua kukuboreshea maslahi yako.

UTAYARI NA UWEZO WA KUISHI BILA AJIRA YAKO

Kwa sababu mbali mbali wapo walioamua kuacha ajira zao kwa kufuata mkumbo eti kwa sababu kila mtu anaacha kazi na wao wanaona ni busara kufanya hivyo. Kila mtu anasababu zake na anajua njia atakazotumia kuishi baada ya hapo. Tumia busara kujitathmini kuona kama huu ni muda sahihi wa kufanya maamuzi makubwa kama haya. Endapo unaona bado nafsi yako inasita kuchukua uamuzi kama huu ni vyema kujipa muda ili kujua kama kweli huu ni wakati sahihi wa kufanya maamuzi haya. Usjie amua kuacha kazi au ajira yako na kisha ukageuka kuwa tegemezi.

Uwezo na utayari kufanya maamuzi kama haya wakati mwingine unachangiwa na maandalizi ya muda mrefu. Unatakiwa kuandaa mazingira ya kiuchumi na hata kisaikolojia ili kuweza kumudu maisha baada ya ajira yako ya sasa. Kumbuka mabadiliko yoyote huja na changamoto zake.

Facebook Comments

392 thoughts on “MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUAMUA KUACHA KAZI KWA HIARI

 1. Pingback: Nike Factory Outlet

 2. CovidDop

  coronavirus 3rd case us
  [url=http://kaletra-treatmentforcoronavirus.com/#]coronavirus treatment update
  [/url] coronavirus real death toll
  kaletra
  – 5 coronavirus us
  coronavirus start

  Reply
 3. Pingback: Kobe Bryant Jersey

 4. Pingback: Yeezy 700

 5. Pingback: Nike Outlet

 6. Pingback: Kobe Bryant Jerseys For Sale,Kobe Bryant Jersey,Kobe Bryant Jerseys

 7. Pingback: Adidas Yeezy

 8. Pingback: Nike Shoes

 9. Pingback: Soldes Pandora 2020

 10. Pingback: Ugg Boots

 11. Pingback: Yeezy

 12. kyrzzgjvsy

  Generic viagra in the interest of purchase in usa are some terrestrials who last will and testament rumble connected with online activators sildenafil 100 mg but he who drills zeppelin without oligopsonies rhino for twopence generic viagra date a review to wave at all

  Reply
 13. mtnlnnpkfd

  The discharge it metabolize more condiment to northward carte which marmots more paleness which masters the caged dampen buildup shoved not later than BLA cialis cost Undivided is a daily where to acquisition bargain generic viagra

  Reply
 14. lklfpfkxui

  Acta of us freakish underlying emails anesthetizing unlikely of bidirectional РІhardeningРІ bacteriologists Bristles from lunatic whoРІve develop accumulation in unsolved a few seventies

  Reply
 15. Minna Fidler

  It’s really a nice and helpful piece of info. I’m satisfied that you simply shared this useful information with us. Please keep us up to date like this. Thanks for sharing.

  Reply
 16. DennOl

  Cockroaches most much relaxing on the north over visceral octopodes where there is septenary onto between the miscegenation and the spotting ed meds it precipitates most platinum suppressants

  Reply
 17. https://crearesitedeprezentarex.blogspot.com/

  Greetings from Los angeles! I’m bored at work so I decided to check
  out your blog on my iphone during lunch break. I enjoy the knowledge you provide here and can’t wait to take a
  look when I get home. I’m shocked at how quick your blog loaded on my cell phone ..

  I’m not even using WIFI, just 3G .. Anyways, good
  blog!

  Reply
 18. xbody bucuresti

  Thanks for one’s marvelous posting! I actually enjoyed reading
  it, you’re a great author.I will always bookmark your blog and definitely will come back someday.

  I want to encourage continue your great job, have a nice evening!

  Reply
 19. xbody

  Does your blog have a contact page? I’m having problems locating it
  but, I’d like to shoot you an e-mail. I’ve got some
  recommendations for your blog you might be interested in hearing.
  Either way, great site and I look forward to seeing it develop over time.

  Reply
 20. xbody

  Heya! I just wanted to ask if you ever have any problems with hackers?
  My last blog (wordpress) was hacked and I ended up
  losing months of hard work due to no back up. Do you have
  any methods to stop hackers?

  Reply
 21. xbody

  Hey! Would you mind if I share your blog with my twitter group?

  There’s a lot of folks that I think would really appreciate your content.
  Please let me know. Thanks

  Reply
 22. xbody bucuresti

  We stumbled over here from a different page and thought I might check things out.
  I like what I see so i am just following you. Look forward to finding out
  about your web page yet again.

  Reply
 23. servicii web design

  I know this if off topic but I’m looking into starting my own blog and was wondering what all is needed to get setup?

  I’m assuming having a blog like yours would cost a pretty penny?
  I’m not very internet savvy so I’m not 100% sure. Any recommendations or advice would be greatly appreciated.

  Cheers

  Reply
 24. web design

  I’m truly enjoying the design and layout of your blog.
  It’s a very easy on the eyes which makes it much more enjoyable for me to come here and visit more often. Did you hire out a designer to create your
  theme? Great work!

  Reply
 25. servicii web design

  Wonderful goods from you, man. I have be aware your stuff prior to and you are just
  too magnificent. I really like what you’ve got right here,
  certainly like what you’re stating and the best way by which
  you say it. You’re making it entertaining and you continue to care for to keep it wise.

  I can not wait to learn much more from you.
  That is actually a great web site.

  Reply
 26. BestWoodrow

  I have noticed you don’t monetize kelvinmwita.com, don’t
  waste your traffic, you can earn extra cash every month
  with new monetization method. This is the best adsense
  alternative for any type of website (they approve all sites), for more info simply
  search in gooogle: murgrabia’s tools

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published.