My Profile
Kuhusu Mimi

Kelvin Mwita works as an Assistant Lecturer at Mzumbe University. He holds a Bachelor of Public Administration (Human Resource Management) and Master of Science in Human Resource Management both from Mzumbe University. He is also a PhD candidate at Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT), Nairobi.  Additionally, he is a writer and facilitator on employment, labour, career and entrepreneurship.

 

Kelvin Mwita ni Mhadhiri Msaidizi  Chuo Kikuu Mzumbe. Ni muhitimu wa Shahada ya Menejimenti ya Mashirika ya Umma (Menejimenti ya Rasilimali Watu) na shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Menejimenti ya Rasilimali Watu zote kutoka Chuo Kikuu Mzumbe.   Pia ni mwanafunzi wa Udaktari wa Falsafa katika Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia Jomo Kenyatta, Nairobi. Pamoja na hayo, ni mwandishi na mwezeshaji katika masuala ya ajira, kazi na ujasiriamali.