
ATHARI YA KUCHAGUA AU KUCHAGULIWA KAZI ISIYO SAHIHI
Katika kufanya uchaguzi wa nini mtu anataka kufanya hasa kwenye masuala ya ajira sababu hutofautiana. Wapo watu ambao wamechagua fani au kazi fulani kwa sababu tu ndiyo… Read more »
Katika kufanya uchaguzi wa nini mtu anataka kufanya hasa kwenye masuala ya ajira sababu hutofautiana. Wapo watu ambao wamechagua fani au kazi fulani kwa sababu tu ndiyo… Read more »
Taasisi yoyote hustawi vyema kama imejengwa katika misingi imara ya umoja na ushirikiano katika ngazi zote. Lengo kuu la kuunda taasisi ya iana yoyote ni kuunganisha nguvu ya zaidi ya… Read more »
Katika hali ya kawaida mtu anapomaliza utumishi wake anatakiwa kufurahi kwa sababu maisha baada ya kustafu huonekana kama ni muda mzuri wa kujitua majukumu mengi, kuwa huru na kupumzika. Hakuna… Read more »
Ofisi nyingi zimekuwa zikinyooshewa vidole kwa sababu ya kuwa na watu wasio waadilifu. Miaka ya hivi karibuni vitendo vya mmonyoko wa maadili vimekuwa vikiripotiwa kwa wingi kuliko miaka iliyopita. Maeneo… Read more »
Moja ya vitu ambavyo muhimu katika kujenga ustawi wa shirika lolote lile; liwe la umma, binafsi, dogo au kubwa ni mahusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Kwa upande wa mwajiri… Read more »
Katika maeneo mengi barani Afrika na sehemu nyingine duniani ushirikina sio kitu kigeni. Wapo ambao huusisha imani hii na tamaduni za jamii mbali mbali ikiwemo za kiafrika. Kamusi ya Kiswahili… Read more »
Hakuna mtu ambaye anaanzisha biashara ya aina yoyote ile aikitarajia kuwa itakufa baada ya muda mfupi. Wengi uwa na matarajio ya biashara kukua na kuwa kubwa lakini hii huwa… Read more »
Moja ya changamoto zinazowakuta wengi katika shughuli zao ni kuwa na ufanisi usioridhisha. Tafiti zinaonesha kuwa wapo watu ambao kiasili wanahamasa kubwa ya kazi hivyo kuwafanya wawe hodari zaidi katika… Read more »
Watu wengi wanaamini kuwa kuanzisha au kumiliki kampuni ni mchakato mrefu, mgumu na wenye gharama kubwa. Dhana hii imegeuka kikwazo kwa baadhi ya watu na kukata tamaa ya kuanzisha makampuni… Read more »
Mawasiliano yanachukua nafasi kubwa sana katika kujenga uhusiano wa aina yoyote ile. Inapotokea mawasiliano yakayumba ni dhahiri kuwa uhusiano huo utayumba pia. Taasisi imara na madhubuti inajengwa kwenye misingi imara… Read more »
Mara nyingi kinacho watofautisha watu waliofanikiwa na wale ambao hawajafanikiwa ni matumizi sahihi ya muda. Muda ni moja ya rasilimali muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Kitu kibaya kuhusu muda… Read more »
Makala ya leo inaangazia moja ya mambo ya msingi sana katika kukufanya uwe mtu wa tofauti na kukuongezea thamani katika soko la ajira ; suala la ubunifu. Ubunifu ni uwezo… Read more »
Katika mfululizo wa Makala za mbinu za kuajirika wiki iliyo pita tuliangalia maswali matano ambayo huulizwa mara kwa mara kwenye usaili wa kazi. Wiki hii tena tutaendela na maswali yaliyosalia… Read more »
Katika mada ya leo tunaangalia maswali ambayo huulizwa mara kwa mara kwenye usaili wa kazi na namna ya kuyajibu. Kabla ya kupitia maswali haya kuna mambo matatu ya kuyafahamu na… Read more »
Mwaka jana haukuwa mwaka mzuri kibiashara kwa marafiki wa karibu; Mushi na Brian ambao walikuwa wakifanya biashara zinazofanana katika maeneno tofauti mjini Moshi. Wote walikuwa wakimiliki maduka ya kuuza… Read more »